HUDUMA TUNAZOTOA

 

 

Web: https://tanzanianakilimo.blogspot.com Youtube: Https://youtube.com/rubabaimani

Phone: +255 (0) 764-148-221 Email: rubabaimani@gmail.com

 



HUDUMA KWA MKULIMA NA MFUGAJI
 

NO

JINA LA HUDUMA

AINA  YA HUDUMA

GHARAMA YA HUDUMA (TSH)

1

MUONGOZO

·         Muongozo wa kilimo au ufugaji wowote

·         Usaidizi na ushauri wa kitaalamu wa dharula

 

15,000

2

USAIDIZI

 

·         Muongozo package

·         Ushauri na usaidizi wa kitaalamu wakati wote

·         Ramani na ushauri wa ujenzi na kuanzisha miladi ya kilimo/ ufugaji

 

 

50,000

3

USIMAMIZI

 

·         Mongozo & Usaidizi package

·         Ushauri n usaidizi wa kitaalamu katika eneo la mradi

·         Usimamizi wa mradi

·         Miongozo na plani mbalimbali za miradi.

·         Usaidizi wa kutafuta soko la bidhaa zako

 

 

500,000 + gharama za usafiri na maradhi kwenda & kurudi

4

SOKONI

 

·         Kutangaza/ kuuza bidhaa kupitia platform zetu

·         Kutafutiwa bidhaa kupita platform zetu

 

 

Hutegemea na huduma husika

 

MAELEKEZO YA KUPATA HUDUMA

1.    Chagua huduma husika Katika orodha tajwa hapo juu Mfano. Muongozo

2.    Lipia gharama ya huduma husika kupita namba 0764 148 221 ( IMANI LUBABA EMMANUEL)

3.    Kupitia namba tajwa tutumie ujumbe watsup kutuelezea jinsi unavyo taka kuhudumiwa. Mfano naitaji muongozo wa ufugaji bora wa kuku.

4.    Utaanza kupata huduma ndani ya muda mfupi.

 

NOTE: Kwa maelezo zaidi au ushauri wa kitaalamu wasiliana nasi bure kupita .

EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM

PHONE: +255 (0) 764-148-221

 

Mitandao yetu ni moja kati ya mitandao y kilimo inayofautiliwa na wafuasi wengi sana, asilimia kubwa ikiwa ni wadau wa kilimo na ufugaji, wakulima na makampni mbalimbali. Kwa sasa Ukurasa wetu unajumla ya watumiaji milioni 2 na wafuasi zaidi ya 100, ikiwa na wastani wa kutazamwa na zaidi ya watu elfu moja kila Siku. Television yetu inakua kwa kasi na sasa inawana chama zaidi ya elfu 7.