MPANGO BIASHARA WA KILIMO CHA ALIZETI & MAHINDI KILIMO MSETO

 


Leo nimeona ni vyema niweze kuonesha kitu  ambacho kitawasaidia wakulima wengi Africa Mahariki, badala ya kupanda shamba zima zao moja, unaweza kupanda kwa mchanganyiko na ukapata mazao ya aina mbili tofauti.

Hapa chini nimechukua shamba la mfano na ili kukuwezesha wewe mkulima katika eneo lolote kutumia mfano huu nakufanya kilimo Mseto kati  ya mahindi na Alizeti.

KUPATA USHAURI WA KILIMO NA UFUGAJI, MIONGOZO NA MIPANGO BIASHARA YA KILIMO, WASILIANA NASI KUPITIA 

+255 (0) 764 148 221 / RUBABAIMANI@GMAIL.COM

     A.            TAALIFA YA ZAO

AINA YA ZAO

Sunflower and Maize

JAMII YA ZAO

Hybrid (short Variety)

MSIMU WA ZAO

February - August

AINA YA UDONGO

Loam

MAZINGIRA

Plain

 

      B.            TAALIFA ZA ENEO LA MLADI

ENEO

Vianzi, Lubungo

CHANZO CHA MAJI

Rain fed

UMBALI KUTOKA CHANZO CHA MAJI

 

ULINZI UTAIMALISHWA VIPI

Kuna mtu maarumu katika eneo hilo ambae atakua akifatiria na kuangalia kwa ukaribu, lakini kuzuia ndege nitatumia vinyago maalamu vya kufukuzia ndege

 

      C.            VIFAA VYA MLADI/ EKA 1

MBEGU

2 maize bags and 2 sunflower bags

MBOLEA

One 50kg bag During planting stage( CAN) and one 50kg bag during growing stage (UREA)

WAFANYAKAZI

3 Workers in which 1 will be taking care of the farm and another 2 will assist during farming.

MIUNDOMBINU

Planter

VIWATILIFU

I will use both pesticide  and fungicides for pests and diseases 

MENGINEYO

Plating equipment’s such as rope and Cultivating equipment’s such as knives and bags and packaging materials for both maize and sunflower

 

     D.            GHARAMA ZA MLADI/TSH

KUANDAA SHAMBA

First round= 40,000 Tsh

Second round= 40,000 Tsh

MBEGU

2 Maize bags= 30, 000 Tsh

2 Sunflower bags= 30,000 Tsh

MBOLEA

50 kg (DAP)= 58,000 Tsh

50 Kg (UREA)= 58,000 Tsh

VIWATILIFU

35,000 Tsh

WAFANYA KAZI

First weeding= 30,000 Tsh

Second weeding= 30,000 Tsh

Person to take care= 50,000 Tsh

MIUNDOMBINU

Hallow and planter= 30,000 Tsh

GHARAMA ZINGINE

Cultivating costs Including tools, materials packaging and Transport= 200,000 Tsh

JUMLA

647,000 Tsh

 

      E.            MUDA WA MLADI/ SIKU

KUANDAA SHAMBA

2

KUKUA

90 – 150

KUVUNA

1-2

KUUZA

60

 

       F.            NJIA YA KUFANYA MLADI

NJIA ILIYOPENDEKEZWA

The method proposed is mixed farming between sunflower and maize.

MODERN TECHNIQUES

I will use required spacing for mixed farming (30cm x 75 cm), I will also use rope in making straight lines.

RISK MANAGEMENT

I will use pesticide and fungicides and I will put some toys and barriers to prevent birds and insects.

 

     G.            BIDHAA NA SOKO

BIDHAA(BAGS)

8-10 (50kg each) sunflower and 25 maize (90kg each)

SOKO TAZAMIO

Products will be sold to University students in Morogoro

MARKET STRATEGIES

Maize will be cleaned milled and packed into 2 and 5 kg bag, sunflower oil will be extracted  and sold into 1 litter, 2litters and 5 litters

MARKET PRICE

Each litter of Sunflower oil range between 3,000 – 4,000 Tsh, and each kg of maize flour range between 1,000 Tsh – 1,200 Tsh


No comments