🌱 Dondoo ya Wiki
💡 HIVI ULISHAWAHI KUJIULIZA BEI YA MAZIWA GHAFI KWA SASA NCHINI TANZANIA NI KIASI GANI !?
Wengi wetu tunakunywa maziwa kila siku, lakini hatujui ni kwa namna gani bei ya yake inavyopanda na kushuka kulingana na mikoa na msimu. Leo nimeweka bei rasimi kutoka Bodi ya Maziwa Tanzania ( TDB)
Je unafikiri bei hizi zinamtendea haki Mfugaji?
Au ni changamoto kubwa kwa watumiaji wa mwisho?
Toa Maoni yako - Unadhani nini kifanyike ili sekta ya maziwa iwe na tija zaidi kwa wakulima na watumiaji?
DONDOO HII YA WIKI IMEDHAMINIWA NA KAMPUNI YA KOUDIJS, WAZALISHAJI NA WASAMBAZIJI WA VIRUTUBISHO BORA VYA MIFUGO
Tanzania na Kilimo 🌾


write your comment here