Uza Bidhaa Yako Kupitia Tanzania na Kilimo
Je, wewe ni mkulima au mfanyabiashara wa mazao, mifugo au bidhaa, pembejeo au huduma mbalimbali za kilimo na ufugaji? Wasiliana nasi tukusaidia kuwafikia wateja wako.
Tuma Taarifa hizi kwa kubofya Hapo chini
1. Jina lako, kampuni, biashara au taasisi
2. Aina ya Bidhaa unazo uza
3. Eneo na sehemu uliyopo.
4. Maelezo mengine ya ziada