FURSA YA KAZI: Msimamizi wa Jumuiya ya Tanzania na Kilimo

Sifa za Mwombaji:
✅ Awe na cheti au diploma katika kilimo na ufugaji
✅ Awe na uzoefu wa kutoa ushauri kwa wakulima na wafugaji
✅ Awe na smartphone kwa ajili ya mawasiliano na kazi za kidigitali
✅ Awe na uwezo mzuri wa kuandika na kuwasiliana na watu kwa ufanisi
✅ Awe mtu mwenye juhudi, ubunifu na anayejituma
Faida za Kazi Hii:
📌 Ni kazi ya muda (part-time), haina haja ya kufika eneo la kazi
📌 Inakupa nafasi ya kusaidia wakulima na wafugaji nchini Tanzania
📌 Wanawake wanapewa kipaumbele
Jinsi ya Kutuma Maombi:
Ikiwa unakidhi vigezo na una shauku ya kushiriki katika maendeleo ya kilimo Tanzania, tuma maombi yako sasa kupitia barua pepe:
⏳ Mwisho wa kutuma maombi: 31 Mwezi huu
JOB OPPORTUNITY: Community Manager for Tanzania na Kilimo
Tanzania na Kilimo, in collaboration with Rubaba Media, is looking for a Community Manager to oversee and support the Tanzania na Kilimo community. This is a great opportunity for individuals passionate about agriculture and livestock and eager to contribute to farmer empowerment.
Qualifications:
✅ Certificate or Diploma in Agriculture & Livestock
✅ Experience in agricultural and livestock consultancy
✅ Smartphone for communication and digital tasks
✅ Strong writing and interpersonal communication skills
✅ Self-driven, proactive, and innovative personality
Why Apply?
📌 Part-time job, fully remote – work from anywhere!
📌 A chance to impact the agricultural sector in Tanzania
📌 Women are highly encouraged to apply
How to Apply:
If you meet the qualifications and are excited about this opportunity, send your application via email:
⏳ Application Deadline: 01/04/2025