JINSI YA KUJENGE BANDA LA KUKU

Kabla ya jenga banda kuna mambo muhimu ambayo mfungaji unatakiwa tayari uwe umeshayaju hata kabla ya kuchukua maamuzi ya kujenga banda.
  • aina ya kuku unaotaka kufuga
  • mfumo wa kufugia 
  • idadi ya kuku unaotaka kufuga 
  • lengo la kufuga 

                      AINA YA KUKU UNAOTAKA KUFUGA
 Ninaposema aina ya kuku unaotaka kufuga na maana ujue kama unataka kufuga aina gani
  1. kuku wa nyama/ broiler 
  2. kuku wa mayai/ layer 
  3. kuku wa kienyeji/ local
kwa sababu kila aina ya kuku inamaitaji yake mfano ukitaka kufuga layer lazima uandae na kutengeneza sehem ya kutagia


                      MFUMO WA KUFUGIA
Hapa pia ni muhimu kwa sababu kila mfumo unaendana na aina,idadi na lengo la kufuga
      
 extensive-hapa katika mfumo huu kuku wanakiua wanazurura wenyewe kutafuta chakula2
intensive-katika mfumo huu kuku wanakuandani hawatoki kwenda kujitafutia chakula

semi intesive-katika mfumo huu kuku wanakua huru lakini kunakizuizi ili wasiweze kwenda mbali

japo kua kila mfumo unazo faida pamoja na hasara zake.,

haya twende sasa jinsi ya  kutengeneza banda bora

kabla ya vyote ili banda liwe bora inatengemea na sehemu ambayo inajengwapia
  • sehemu ambayo kunaupatikanaji wa maji 
  • sehem ambayo kunaupatikanaji wa umeme
  • sehemu ambayo barabara ni nzuri inasaidia hata wateja kufika kiurahisi hata pia unapotaka kuleta chakula kiweze kufika kiurahisi
  • sehem ambayo kunausalama wa kutosha..,
  • sehem ambayo haiina upepo mkali sana
                       BANDA BORA
     Msingi,msingi wa banda bora lazima uwe umejengwa vizuri sana.., yani hakuna ufaufa ambayo inaweza kusababisha banda kubomoka.

    Ukuta,ukuta inashauliwa ujengwe kwa matofari na pia kwa ndani lazima ukuta upingwe lipu ili kuzuia wadudu pamoja na bakteria kunata ukutani.,lipu ni muhimu sana kwa sababu bila kupiga lipu wadudu kama tandu,buibui,ng'nge na wengine wana weza kuwadhuru kuku wako

   Sakafu,banda la kaku lazima lisakafiwe na zenge sio simenti.sakafia zege vizuri alafu unatakiwa kuweka maranda kama 5cm kutoka usawa wa zege ili kusaidia katika usafi na pia inasaidia kuku kutopata majeraha miguuni

   napia lazima banda liwekewe bati jipya ambalo alina kutu wala matobo ili kuzuia wadudu pamoja na maji kuingia bandani

   madilisha,lazima uangalie upepo unapo elekea ndipo ujenge banda.,madilisha haya takiwi  kupitisha upepo kwa sababu yataleta vumbi pamoja na bakiteria wengine.lakini madilisha lazima yawe makubwa sana ili kuwezesha hewa pamoja ya kutosha kuingia na kutoka nje ya banda

na lazima banda liwe na sehem ya kulia pamoja na drinker zakutosha ili kuku wasilundikane sehem moja.

pia lazima banda liwe na chanzo cha mwanga wakati wa usiku

footbath,hiki ni kidibwi kidogo kinacho wekwa mlangoni na kazi yake ni kuweka maji yalio changanywa na antibitik kila anae ingia ndani ya banda lazima aweke miguu yake humol ili kuepusha kuingiza magonjwa bandani

hiyo juu ni mifano ya mabanda bora na unaweza kuangalia mfano huo

 natumaini  umejifunza mengi endelea kua namimi
+255764148221 

Post a Comment

14 Comments

mwalimu robert said…
asante sana kwa elimu murua, Vipi kama ukiwa na group la WhatsApp kwaajili ya darasa kwa wadau wengi?
kama lipo please add. 0755750104
Rubaba Imani said…
nampango wakuanzisha group ambalo linatukua na wataalamu wengi ili kuendelea kujifunza na kushaire ideas kwa wingi
asante kwa ushirikiano
Unknown said…
Habar yako. Samahani group la whatsapp umefanikiwa kulifungua?
Rubaba Imani said…
kwa sasa lipo la ufgaji wa nguruwe
Unknown said…
naomba unaadd kwenye hilo la kufuga nguruwe no. 0754697702
Anonymous said…
naomba uniadd kwenye group la ufugaji wa nguruwe.
0754999159
Anonymous said…
Naomba kuungwa kwenye group lenu ili nipate kujifunza mengi ntashukuru no yangu no 0755771020
Unknown said…
Naomba kuungwa kwenye group la ufugaji kuku no yangu 0717557277
Unknown said…
Naomba uniad kwny group tafadhali namba yangu ni 0753044605
Unknown said…
naomba uniadd kwenye group la ufugaji wowote mlilonalo +260979007873
Unknown said…
naomba uniadd kwenye group la ufugaji wa kuku no yangu.0757075079
Unknown said…
Naombe mniunge kwenye grupu la ufugaji kuku
Unknown said…
Ni add kwenye group LA ufugaj kuku kama lipo 0622335294
Unknown said…
Nashukuru kwa elimu nzuri unayoitoa naomba uniunge kwenye group la whatsap la ufugaki wa kuku namba yangu ni 0767310715