Tumia mbinu hii kufanya "NGURUWE WAKO AWE NA KILO NYINGI" kwa mda mfupi ITAKUSHANGAZA ni rahisi sana!!!
Tumia mbinu hii kufanya "NGURUWE WAKO AWE NA KILO NYINGI" kwa mda mfupi ITAKUSHANGAZA ni rahisi sana!!!
Sababu zinazoweza kuchochea au kupunguza kilo.
Sababu zinazoweza kuchochea au kupunguza kilo.
1.Aina na jinsia
2.umri
3.aina ya chakula
4.ubora wa chakula
5.hali joto
6.kiasi cha chakula
7.kiasicha mazoezi
ukiweza kudhibiti utasaidia nguruwe wako kupata uzito mkubwa ndani ya muda mfupi.
Washingiton state university
ukimlisha nguruwe wako vizuri anauwezo wa kupata uzito wa kilo 0.6 hadi 0.7 kwa siku hadi kufikia uzito wa kilo 50
na baada ya hapo ataaanza kupata uzito wa kilo 0.8 had 1 kwa siku
apewe chakula chenye uwiano sahii katika hatua zote yaani
1.Starter 70 - 80% wanga na anapofikisha uzito wa kilo 75 punguza chakula cha mafuta
2.grower
5.finisher angalau 1.5 kwa siku
nguruwe wadogo wale sana
ongeza radha kuchochea uwezo wao wa kula
hakikisha anaafya nzuri kumuwezesha kula vizuri
Mazoezi kidogo
tazama video nzima
Post a Comment