Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na report ya mwaka 2017
iliyo tolewa na idala ya takwimu za wafanyakazi america ikielezea makadilio ya kipato
ambacho wafugaji wa nguruwe, wanapata kwa mwaka,
nikaona niweze kukusogezea ili nawewe uweze kujifunza kwa ukaribu.
kwanza kutokana na Idara ya kilimo marekani (USDA) Inatambua wafugaji wa aina hizi.
1. wanaofuga kuanzia kuzaliwa hadi kuchinja
2. wanaokuza kuanzia wanazaliwa hadi kufikia umri flani
3.wanaonunua waliokuzwa hadi kuchinja.
mapato hutofautiana kulingana na
1. gharama za ufugaji
2. hali ya hewa
3. bei ya nyama sokoni
4. mfumo wa kufugia kibiashara, familia
5. idadi ya ngururuwe.
kipato cha chini $35440 = zaidi ya million 81
kipato cha kati 67950 = zaidi ya million 150
wakubwa 136940 = zaidi million 300
wafugaji wengi wanaelimu kuanzia diploma wengi wakisomea masomo ya ufugaji
VIDEO IMEELEZEA KWA KINA ZAIDI TAZAMA KUJIFUNZA.
0 Comments