1. Banda lazima liwe na uwezo kuwafanya nguruwe wajisikie vizuri. mwanga wa kutosha, na kivuli, hakuna joto kupita kiasi
hakuna harufu mbaya, hamna matope.
2. banda lijengwe kwa urefu kuelekea kuelekea jua linapotokea na kuzama kulinda mvua na jua.
3. banda litenganishe katika seheu tofauti tofauti, katika kila hatua ya ukuaji kutegemea na idadi ya nguruwe.
4.banda lijengwe kulingana kendana na gharama.

TAZAMA VIDEO KUJIFUNZA ZAIDI
0 Comments