JE UNAFAHAMU MDHARA UTAKAYO YAPATA WEWE KAMA MFUGAJI ENDAPO USIPO
ZINGATIA UJENZI WA BANDA BORA KWA NGURUWE?
1. Abortion
2.kukua taratibu/ na afya mbovu
3.kuharisha
4.watoto kufa baada ya kuzaliwa
5.maambukizi ya wadudu tegemezi
6.athari za kiuchumi
7.madhara kwa binadamu
8.kusambaa kwa magonjwa ya mlipuko.
Tazama ujifunze zaidi kupitia video hapo chini
0 Comments