Kwanini vifaranga wanakufa bila sababu??

 

Hapa haijalishi wawe ni vifaranga wa kuku aina yoyote, kwale, kanga na hata ndege wengine wanaofugwa.
Hili ni swali ambalo nimekua nikiulizwa sana.

leo ni nikaona ni vyema niweze kuzungumzia, 


lakini pia kutambua uhitaji na changamoto zinazowapata wakulima na wafugaji ususani katika
kupata maelekezo, ujuzi na usaidizi wa kitaalamu, kuwawezesha kufanya kilimo/ ufugaji  chenye tija.

tumekuandalia miongozo tukianza na huu kwa njia ya sauti.
 kukuwezesha wewe mkulima kujifunza huku ukiburidika wewe, famila na marafiki zako.

Muongozo umeandaliwa kitaalamu na kuelezea kwa kina hatua zote muhimu yaani
1. utayarishaji wa shamba
2. uchaguzi wa mbegu bora
3. upandaji
4. utunzaji wa shamba
5.kudhibiti magonjwa na wadudu
3. uvunaji
Navingine vingi.
Unaweza kujipatia muongozo wako kwa njia ya sauti, kupita cd, email, telegram au watsup.
kwa elfu 10 pekee.


mawasiliano 

0764148221 au email: rubabaimani@gmail.com


kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kupelekea vifo kwa vifaranga.
ila kuna sababu mbili kuu ambazo mara nyingi hua ndio zinazo pelekea.

 1. Baridi, vifaranga wanapokua wadogo wanaitaji joto ambalo ni wastani, uwezo wao kuimili baridi ni mdogo
 hawana manyoya ya kutosha. ndio maana watu wanaweka brooder na taa maalum. ukuacha hivi hivi wakati wa usiku kuna barid.

2. Maradhi- usichanganye vifaranga na kuku wakubwa, weka sehemu maalamu iliyo nzuri bila vumbi, uwezo wakuhimili magonjwa
ni mdogo hivyo endapo mazingira yakiwa mabaya wataathirika kwa ugonjwa. ni vizuri kuwaondoa kwa mama yao na kuwapeleka
sehemu maalum , anaweza kuwapa ugonjwa.

3. chanjo- magonwa ya mlipuko fatilia ratiba ya chanjo

TAZAMA VIDEO KUFAHAMU KWA KINA ZAIDI NA SUBSCRIBE KUA WAKWANZA KUPATA MAFUNDISHO MBALIMBALI


 

Post a Comment

0 Comments