TUMEBORESHA ZAIDI MIONGOZO YA KILIMO NA UFUGAJI KWA NJIA YA SAUTI.

 Karibu Mimi imani lubaba mtaalamu mzoefu wa kilimo na ufugaji.
 Kwa kutambua uhitaji na changamoto zinazowapata wakulima wa mahindi ususani katika
kupata maelekezo, ujuzi na usaidizi wa kitaalamu, kuwawezesha kufanya kilimo chenye tija.

Rubaba Media na Tanzania na kilimo imekuandalia muongozo huu kwa njia ya sauti.
 kukuwezesha wewe mkulima kujifunza huku ukiburidika wewe, famila na marafiki zako.

Muongozo umeandaliwa kitaalamu na kuelezea kwa kina hatua zote muhimu yaani


1. utayarishaji wa shamba
2. uchaguzi wa mbegu bora
3. upandaji
4. utunzaji wa shamba
5.kudhibiti magonjwa na wadudu
3. uvunaji
Navingine vingi.


Unaweza kujipatia muongozo wako kwa njia ya sauti, kupita cd, email, telegram au watsup.
kwa elfu 10 pekee.

KUWEKA ODA MAPEMA
wasiliana nasi kupitia namba 0764148221 au email. rubabaimani@gmail.com
au jifunze zaidi kupitia blog yetu.
https://www.tanzanianakilimo.blogspot.com
na bila kusahau kusubscripe channel youtube https://youtube.com/rubabaimani.

KARIBUNI SANA.


 

Post a Comment

0 Comments