Uwezi amini !! Nilifuga kuku Elfu moja Tu, "NIKANUNUA GARI LANGU" la kwanza

 


Jana jion moja kati ya wadau wakubwa wa channel yetu kutoka mbeya.
ambae hakupenda jinalake kuwa hadharani lakini amekua
mdau mkubwa wa channel yetu hii.

aliamua ku share baadhi ya mafanikio aliyoyapata baada ya kuamua
kuanza kufuga kuku chotara mwaka na miezi kadhaa nyuma.

ambapo amesema mbali nakua ufugaji huo kua shuguri yake kubwa,
lakini pia umemuwezesha kuweza kununua gari yake ya kwanza.

kilicho nivutia zaidi sio yeye kununua gari lakini ni yeye aliweza
kufanikiwa kwa kiasi chake kupitia ufugaji wa kuku ambao wengi wamekua wakifuga
bila mafanikio yoyote na hicho ndio kikbwa ambacho nilitaka wewe ujifunze kwa siku ya
leo.

1. alifanya utafiti wa soko- akagundua kua nyama ndio inasoko sana katika eneo lake alilopo na ambapo baada ya kuuza
kuku wake katika maeneo mbalimbali akapata kiasi kizuri cha pesa.
2. alidhubutu- alinunua vifaranga elfu moja, na kutumia sehemu ya nyumba yake kuanza kufuga.
3. alifata kanuni na masharti- alihakikisha amepata mtu sahihi kwaajili ya kumshauri. ilimsaidia kupunguza vifo vifo chini
ya 100 kua na afya hadi kuuza kwa bei kubwa.
4. alijitahidi kupunguza gharama- alinunua chakula kwa wingi katika maeneo yanayopatikana kwa bei nafuu
mfano alitafuta debe lamapumba kwa elfu moja.
5. alikua  karibu- ilimsaidia  kujua changamoto na kuzitatua.

 

TAZAMA VIDEO KAMILI HAPA CHINI PIA SUBSCRIBE, BOFYA KENGELE NA SHARE NA WENZAKO


 

Post a Comment

0 Comments