MAGONJWA YA MIFUGO, DALILI NA TIBA

EAST COAST FEVER
( Ndigana kali)
Ndigana kali ni gonjwa ambalo sio la kuambukiza, ambalo umpata ngombe na hua dalili zifuatazo   
Ø   Homa kali
Ø  kukohoa
Ø  dyspnoea
Ø   Kutokwa na kamasi
Ø  Kuvimba lymp 



 MAAMBUKIZI
 Ndigana kali husambazwa na kupe anaeitwa Rhipicephalus appendiculatus
Huambukiza kwa kula masikio ya ndama na pia huzaliana hapo nakua wengi.



utambuzi
unaweza kutambua kwa kutumia historia ya mfugaji kuwaosha, lakini pia unaweza kutambua kwa kutumia dalili zifuatazo.

  • homa kali
  •  kutokea kwa magonjwa mengine yanayo tokana na kupe mfano (Anaplasmosis, Babesiosis, Trypanosomosis)
  • mnyama kukosa laa 
  • kuvimba lymp

TIBA

  • Clexon (parvaquone,10mg/kg IM, q 48h tiba mara mbili) inaleta matokeo mazuri  
Matayalisho mengine kama dawa (Buparvaquone, fruvexone, parvexon)
Prednisolone (inapunguza uvimbe) 
usafi wa hali ya juu
kuzungushia fence kupulizia dawa malisho na wanyama
 natumaini umejifunza kitu usisite kua namimi wakati mwingine ili kufahamu gonjwa lingine

No comments