UTANGULIZI
Family: Rubiaceous
Scientific
Name: Coffea arabica
Asili:kwa mujibu wa wataalam hasiri ya kahawa ni
katikati ya Ethiopia.
kusambaa: kutoka Ethiopia kahawa ilisambaa hadi india,
uturuki, italia, vinna, british na Africa mashariki
1. Tanzania –ulimwa Mt. Kilimanjaro na kusini kwa Mt. Meru,
Oldeani in Ngorongoro Highlands, Uluguru Mts, North Mara, Kigoma, Kasulu,
Kibondo, Rungwe, Mbeya, Mbazi and around Usambara Mountains.
2. Kenya – Ol Donyo Sabuk, Machakos, Nakuru na Rift
Valley.
3. Uganda – wilya za Bugisu na Mt. Elgon, Kigezi, Ankole,
Toro na Nile
MVUA NA
MAITAJI YA MAJI
Kahawa kwa sasa hulimwasana katika maeneo ya
kitropikia,
JOTO;Huitaji joto la 17 hadi 23 degree centrigrade
Pia kahawa huitaji kiasi cha mvua 1500 – 1200
mmkwa zaidi ya miezi 8
Kahawa ni moja ya zao ambayo huasirika na jua
kali hivyo ni muhimu sana kupanda miti ya kivuli shambani
PH kahawa
husitawi vizuri kwenye udongo wenye chumvi chumvi 4.5 to 5.6, pia udongo wenye
uwezo wa kuhifadhi maji lakini kahawa husitawi vizuri sana kwenye udongo wenye
asili ya volicano na udongo ambao haujawai kulimwa (virgin soil)
KUANDAA SHAMBA
Katika kuandaa shamba la kupanda kahawa miti
mikubwa na miamba mikubwa hung’orewa
Kwa maeneo ambayo yanaweza kutifuliwa mbolea
kama phosphorus inatakiwa kuwekwa mara nyingi shamani kabla ya kuamishia mche
shambani. Na maeno ambayo hapawezi kutifuliwa mashimo huweza kuwekwa na
buldoza.
Mashimo
ni lazima yawe makubwa na yenye kina kirefu
kuwezesha kuto vunja mizizi wakati wa kuhamishia mimea shambani.
Kahawa hupandwa kwa kutumia michea ambayo
imekuzwa kwenye vifuko.
Nafasi ya kupada ni 3m x 3m kwa kiasi cha mimea 1280
plants/ha.
Miti ya kivuli kama vile m leucaena inawezwa
kupandwa kwa 6m x 6m.
MBOLEA
unatakiwa kuzingatia kutumia udongo wenye rutuba
ya kutosha.
Unaweza pia kutumia mbolea ya asili.
KUVUNA
Kahawa hua tayari kuvunwa miezi 8 hadi 9 kutoka
kipindi ambacho maua ya mechomoza unatakiwa kuvuna matunda ambayo yamesha
yamesha iva na kubadilika rangi kua nyekundu .
Ukivuna matunda ambayo bado hayaja iva
usababisha kahawa kua chungu sana
Katika maeneo ya kitlopikia unaweza kuvuna mara
moja kwa mwaka.
.
MAGONJWA NA WADUDU
Kutu majani/Coffee Leaf Rust (Hemileia
Vastatrix)
Huu ni ugonjwa wa fangas ambayo hushambulia
majani tu na . na unaweza kuzuia kwa kuwekea nyasi kuzunguka mmea wakati wa
kupanda na kuweka mbolea na unatakiwa kupulizia dawa ya fungusi (fungiside).
2. Magonjwa ya
tundaCoffee Berry Disease (CBD) (Colletotrichum Kahawae)
Huu ugonjwa hushambulia matunda ya kahawa katika
kipindi cha kutoka katika ua na kua kuiva, pia unaweza kuzuia kwa kutumia dawa
za fangas.
3.Ubuli unga/Coffee
wilt disease, also known as Tracheomycosis (Gibberella xylarioides)
Hii ushambulia sehemu za chini za mmea na
hushambulia zaidi mimea midogo, pia unaweza kuzuia kwa kutumia dawa za fangasi.
Pia unatakiwa
1. Kuweka mazingira safi
2. Mbolea ya kutosha
3. Maji
Ili kuweza kuzuia magonjwa na wadudu
waharibifu.
0 Comments