TANGAZA NASI


 Blog ya "httpp//;www.tanzanianakilimo.blogspot.com'' imekua moja kati ya blog ambayo inafanya vizuri sana nchini Tanzania na hata nchi zingne pia.
imedhibitishwa hilo kwa sababu ukiingia mitandaoni na kuangalia blog ambazo zinafanya vizuri ni wazi inaonekana.
kulingana na kukua kwa teknologia hivyo hii imekua ni kama frusa kwa wewe
  • mkulima
  • mfugaji 
  • mfanya biashara
  • na hata raia mwingine wasio husika na kilimo
nasema imeikua frsha kwa sababu watu wengi wanao taka kujua au wanao husika na kilimo hutafuta taalifa au ujuzi mbali mbali kutumia njia ya mitandao.
 Hivyo "httpp//;www.tanzanianakilimo.blogspot.com'' imekua kama msaidizi kwa watu wengi kwakua imekua ikiwakutanisha wafanya biashara, wakulima, wafugaji, wananuzi wa vitu vya kilimo na mifugo pamoja na wauzaji, wataalam.
hivyo tumekua kama uwanja wa wakulima na wafugaji kukusanyika pamoja.

hivyo wewe kama mfanya biashara, mkulima, mfugaji na hata makampuni binafsi na tasisi , kutangaza bidhaa, huduma au biashara yako ndani ya blog hii tena kwa bei nafuu sana.

FAIDA ZA KUTANGAZA NASI
  • kukuza soko
  • kukutana wanunuzi sahihi
  • uhakika wa bidhaa au huduma yako kupata wateja 
  • kukutana na watu wenye huitaji wa kitu au huduma inayo husiana na kilimo
  • kupata fursa kuielezea ubora wa bidhaa yako
 hivyo wote mnakaribishwa sana
0764148221
0653882567
rubabaimani@gmail.com

Post a Comment

0 Comments