Wakulima mbalali mkoani mbeya walalamika kutofikiwa na mbolea, Wakizungumza na ITV leo wakulima hao wameonesha kuwa na wasiwasi wakutopata mazao mwaka huu kutokana na kutopata mbolea.
Hii imepelekea kupanda mbolea hizo ambazo kwa kawaida mbolea ilitakiwa kuuzwa kwa shilingi elfu 50-hadi 60 kwa kilo hamsini.
0 Comments