JIFUNZE AINA TOFAUTI TOFAUTI YA MABANDA BORA YA MIFUGO

  Habari za muda huu mpenzi msomaji wa TANZANIA NA KILIMO na Mtazamaji wa LUBABA TV, bila shaka hu mzima wa afya tele. Leo hii napenda kukuletea mezani somo zuri ambalo litakufanya wewe mfugaji kua na ujuzi wa kutosha wakati wa kuchagua na kujenga banda bora la mifugo yako.
  Hapo awali nimekua nikikuonyesha na kukufundisha sifa mbalimbali za mabanda ya mifugo tofauti tofauti na leo hii nimeona nivyema nikikuletea mifano ya mabanda bora ya mifugo hiyo, hivyo kukuwezesha wewe mfugaji kuchagua ni banda gani linaweza kukufaa zaidi.


MABANDA BORA YA NG'OMBE
Kwa kuanza nitaanza na mabanda bora ya ng'ombe na hapo chini nitakuwekea mifano ya mabanda tofauti tofauti ya ng'ombe hivyo unaweza kuangalia ni banda lipi linaweza kukufaa zaidi.
Na ili kuchagua banda bora nilazima uzingatie vitu vifuatavyo
  • Mtaji
  • idadi ya wanyama au ndege wako
  • eneo
  • mazingira 
Hivyo ukizingatia vitu tajwa hapo juu utaweza kuchagua banda sahii kabisa




 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Hivyo wewe kama nimfugaji wa ng'ombe unaweza kutizama hapo juu na usisite kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kwa msaada wa kutengeneza ramani.
 
 
 
MABANDA BORA YA NGURUWE




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Hayo juu ni baadhi ya mabanda bora ya nguruwe na unaweza kuchagua na wasiliana nasi kwa msaada zaidi.
 
MABANDA BORA YA KUKU
 




   
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Na hayo juu nimfano wa mabanda bora ya kuku hivyo pia unaweza kuchagua kulingana na mahitaji yako na wasiliana nasi kwa msaada zaidi kwa kubofya HAPA
au piga namba +255764148221  

No comments