Ufahamu ugonjwa hatari wa nguruwe (African swine fever)
Rubaba Imani
Sunday, November 25, 2018
0
African swine fever umekua ni moja Kati ya magonjwa hatari Sana Tanzania, na sasa wafugaji wengi wa nguruwe wamekua na hofu kutokana na ugonjwa huu hatari.
Tazama na ufahamu mengi ya msingi na usiyo yajua kuhusu ugonjwa huu wa african swine fever.
Pia usisite kuwasiliana nasi kwa mambo mbalimbali na kumbuka ku SUBSCRIBE Channel yetu.
write your comment here