Mbinu rahisi kuzuia wadudu na magonjwa shambani bila kutumia dawa

Wakulima wengi wa mboga mboga wamekua wakikubwa na hasara Mara kwa Mara, hii ni kutokana na kupata mavuno machache baada ya mazao Yao nishaliwa na magonjwa pamoja na wadudu wayaribifu. Hii imepelekea wakulima kutumia nguvu nying na pesa nying katika kutafuta tiba ya magonjwa katika bustani zao pia kutafuta kemikal za kuzuia au kuu wadudu wayaribifu. Matokeo yake bado yanakua mabaya zaidi.
Mbinu zifuatazo zinauwezo mkubwa wa kuzuia uvamizi was magonjwa na wadudu shambani kwako endapo mkulima atazitumia ipasavyo.
1. Kusafisha shamba kabla ya KUPANDA
2.mbolea ya kutosha
3. Kupanda mazao ya kuzuia pemben ya shambani
4.kubadili aina ya mazao
5.kupunguza msongamano wa watu shambani, nakutochanganya vifaa

Jifunze zaidi kupitia video hii fupi

Post a Comment

0 Comments