Mbinu za kuzuia "Homa ya Nguruwe" (African Swine Fever ) Ugonjwa unaongoza kwa kuua Nguruwe
Rubaba Imani
Tuesday, October 11, 2022
0
1. Ujenzi wa banda sahii - kuzuia upepo wa moja kwa Moja
2. Usafi wa Banda mazingira jirani na vyombo
3. Kuzuia mrundikano wa nguruwe katika chumba kimoja
4. Kuepusha kuchanganya moja kwa moja nguruwe wageni na wenyeji
5. Chukua hatua za haraka unapoona mabadiliko
6. Kudhibiti muingiliano wa watu katika banda lako.
write your comment here