Matumizi ya mashine za kupandia inasaidia sana katika kuongeza tija kwenye kilimo chochote kwa sababu mashine hizi husaidia kuweza kupanda mbegu kwa usahihi na hivyo kuwezesha mbegu hizo kuweza kuota vizuri na kwa wakati.
Kwanini utumie Hand Push Seeder Machine?
Mashine hii imetengenezwa mahususi kwaajili ya kupandia mbegu, zikiwalenga hasa wakulima wenye mashamba madogo ambapo ikimsaidia kuongeza ufanisi na ikimpatia mkulima faida zifuatazo.
· Matumizi madogo ya muda
· Usambazaji wa mbegu kwa usahii hivyo kupunguza upotevu wa mbegu
· Kupanda mbegu kwa umbali na kina sahii
· Inapunguza matumizi ya wafanyakazi wengi
· Inaongeze uzalishaji kutokana na upandaji sahii
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
KWA MATANGAZO/ KUNUNU ZANA HII NA ZINGINE NYINGI ZA KILIMO NA UFUGAJI WASILIANA NASI +255764148221 / +255679148221 AU BARUA PEPE [ rubabamedia@gmail.com ]
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
SIFA ZA HAND PUSH SEEDER MACHINE (MASHINE YA KUPANDIA KWA KUTUMIA MKONO)
Ø Hii mashine ni Manual yaani haitumii nishati yoyote mkulima mwenye anakokota kwa kutumia mikono yake
Ø Ni rahisi sana katika kuifunga na kuitumia, kutengeneza na hutumika katika mashamba ya aina tofauti tofati
Ø Hutumika kupanda mbegu za mazao tofauti tofauti yaani mahindi, pamba, karanga, mbegu za castor,soya na mazao mengine mengi na sio kupanda pekee pia huweka mbole kama vile urea na zingine.
Ø Housing yake hua inaonesha (transparent) kuwezesha shughuri nzima ya upandaaji kwenda vizuri
Ø Mtu mmoja anaweza kutumia na uwezo wa kupanda hadi shamba lenye ukubwa wa ekari 10 kwa ufanisi kabisa
SPECIFICATIONS WA HAND PUSH SEEDER MACHINE (MASHINE YA KUPANDIA KWA KUTUMIA MKONO)
· UWEZO WA MBEGU: 3kg
· NAFASI KATIKA KUPUNDA: Inaongezeka 13.5 cm hadi 35 cm
· UWEZO WA KUFANYA KAZI: 0.55 – 0.7 ha/day
· IDADI YA ROLLER: Full set ya roller 8 (hufaa zaidi mbegu zenye ukubwa wa 0.5cm -2cm diameter)
· UKUBWA WA KONTENA LA MBEGU: 3.5Kg
· PACKAGING SIZE: 550,210MM
· SIZE YA MSHIKIO: Urefu 125 cm, Upana 40 cm
· UMBALI WA MBEGU: 15cm yenye 12 Nozzle, 16cm yenye 10 Nozzle, 30cm yenye 6 Nozzle, 33 cm yenye 5 Nozzle, 20 cm yenye 8 Nozzle, 40 cm yenye 4 Nozzle, 60 cm yenye 3 Nozzle.
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
KWA MATANGAZO/ KUNUNU ZANA HII NA ZINGINE NYINGI ZA KILIMO NA UFUGAJI WASILIANA NASI +255764148221 / +255679148221 AU BARUA PEPE [ rubabamedia@gmail.com ]
Imeandikwa na Imani Lubaba, Mtaalamu wa kilimo na Ufugaji
TAZAMA VIDEO HAPA
0 Comments