Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu!
❓Je, unajua?
Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, na Arusha.
Kulingana na takwimu za FAO na Mifugo Tanzania:
Sasa tafakari hivi:
✅ Ukiwa na mbegu bora ya nguruwe (kama Landrace, Large White au Camborough), ukampa lishe bora na matunzo stahiki, kwa muda wa miezi 6 hadi 7 tu — anakuwa na uzito wa kilo 100 au zaidi 🐖!
✅ Nguruwe wa aina nzuri huzaa si chini ya watoto 8 hadi 12 kwa uzao wa kwanza 🐷 — na anaweza kuzaa hadi mara 2 kwa mwaka!
Hebu Piga Hesabu:
➡️ Bei ya kilo 1 ya nyama ya nguruwe kwa sasa ni kati ya Tsh 8,000 hadi 12,000 kutegemeana na eneo.
➡️ Nguruwe mwenye kilo 100 ni sawa na Tsh 800,000 hadi 1,200,000 kwa mauzo ya nyama!
➡️ Mtoto wa nguruwe (ndama) aliyeachishwa anaweza kwenda kwa Tsh 120,000 hadi 250,000!
💡 Je, umeshachunguza bei katika eneo lako? Umewahi kujiuliza kwa nini wachache sana wanafuga nguruwe kibiashara kikamilifu?
Sasa ni muda wako!
Ufugaji wa nguruwe sio hadithi tena, ni njia halali na halisia ya kujiinua kiuchumi hasa kwa kijana, mama wa nyumbani, au mkulima mdogo.Hii si hadithi za mjini — ni uhalisia unaohitaji mtu wa kuchukua hatua.
Unataka kuanza lakini huna maarifa ya kutosha? Karibu katika Jumuiya yetu
📲 Tuma neno NIUNGE kupitia WhatsApp kwa kubofya hapa:
👉 Rubaba Media
🗣️ Ukiipuuza hii leo, mwakani utakumbuka kuwa ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha yako…
Sasa ni wakati wako.
Chukua hatua.
Anza na nguruwe mmoja — uje uniambie!
🟢 Tuma kwa mtu mwingine pia — huenda ukamwokoa!
write your comment here