Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo yatakayofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 hadi 8 August 2025! 🏆🇹🇿
🙌 Mpigie kura kwa hatua hizi mbili:
✅ Hatua ya 1:
Fungua link hii 👉 https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSd17JScb9mFMUGtOxwxoKJLOkMPqi8QupHc5cS_4271w7qpXg/alreadyresponded
➡️ Chagua kipengele cha EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD
➡️ Chagua jina la IMANI LUBABA
➡️ Kisha submit
✅ Hatua ya 2:
Like picha hii kwenye Instagram 👉 https://www.instagram.com/p/DK-LRsoNR-r/?igsh=a2RjcjZxOG9yYXNh
➡️ Kupitia like hiyo, tayari umepiga kura nyingine! ❤️
📢 Kura yako ni sauti ya mabadiliko! Tumuunge mkono kijana huyu shujaa wa kilimo kutoka Tanzania! 🌾💪
#TeamLubaba #EastAfricaExpo2025 #AgripreneurExcellence #RubabaMedia #YouthInAgriculture
write your comment here