kwa mtazamo wako kama mtanzania unachukuliaje tamko la waziri wa michezo,abari na utamaduni
NAPE NAUYE kuhusu tamko lake kuwa matango ya bunge yote yasiwe yanaoneshwa lave bari yaoneshwe matukio muhimu ili kupunguza garama;
haya ni mambo nayo takiwa kujiuliza je;
kunambo gani yanafichwa
je bungeni kunamambo ambayo sio muhimu kuyaona
je siku zote hizo gharama hazikuonekana?

0 Comments