habari za sahizi mpenzi msomaji..,Leo nnakuja mbele yenu na somo jingine ambalo bilashaka litakua na manufaa ka yeyote yule atakae lisoma na kulitendea kazi ipasavyo....,
UTANGULIZI
Mahindi ni moja ya mazao ya chakula ambaya lina limwa sana nchi Tanzania takribani mikoa yote,,zao la mahindi lina sehemu kuu tatu ambazo ni mizizi,shina na tunda na zao hili linachukua miezi mitatu hadi kukomaa mpaka kuvunwa kwa ajili ya chakula.
MAMBO MUHIMU KABLA YA KULIMA
Kabla ya kuanza kulima zao la mahindi kuna vitu muhimu ambayo mkulima unatakiwa kuyafanya kabla hata ya kuanza kupanda mbegu;
i/kuchagua mbegu sahihi
ii/kuandaa shamba kwa wakati
iii/kupanda kwa wakati
iv/kupalilia kwa wakati
v/kuweka mbolea sahihi
vi/kuvuna kwa wakati
KUANDAA SHAMBA(LAND PREPARATION)
Baada ya kua umezingatia mambo twajwa hapo juu hatua ya kwa kwanza ni kuandaa samba.,kunavifaa vitatu vinavo tumika kuandaa shamba nchini Tanzania,jembe la mkono, ng'ombe na treckta.Baada ya kua umechagua kifaa kipi utatumia unatakiwa kutifua(tilling) eneo ambalo limeandaliwa kwa ajili ya kupanda.
hutakiwi kuchoma moto majani yaliyo kwenye eneo untakiwa kuya kata na kuyazika ili yawe mbolea na ndo maana unatakiwa kuaandaa shamba mapema yaani mwezi mmoja(1month)kabla ya kupanda.udongo unatakiwa utifuliwe sentimita 30 kwenda chini.
wengine pia hutmia viua gugu(herbicide) hii hasa ni kwa wale wenye maeneo makubwa sana unaweza pia kuweka samadi au mboji kwenye shamba(manure)
KUPANDA MBEGU(SEED SOWING)
Hii ni hatua inayo fuata baada ya kuandaa shamba..,unatakiwa kupanda mbegu ambayo ni bora na in ayo weza kupambana na magonjwa hivyo basi baada ya kununu mbegu jaribu kupanda kiasi kidogo cha mbegu nyumbani kwako(10 seeds) kama zikiota angalau saba(7) hiyo mbegu ni bora unaweza kuipanda shambani.
Pia ni muhimu kutumia mbole za kupandi DAP,TSP
-mbegu inatakiwa ipandwe sentimita 5-7 kwenda chini na ifukiwe vizuri ili kuepusha mbegu kuliwa na wadudu na pia mbegu haiitaji mwanga ili kukua so unatakiwa ufukie vizuri,
kwa mbegu tatu msitari kwa msitari ni sentimita 75 na shimo ni saentimita 60 baada ya hapo utang'oa mbegu moja ili zibaki mbili
kwa mbegu moja ni 75-30
ectare moja unaweza kutumia mifuko nanae hadi kumi na kutakua na miche 18000
KUPALILIA (WEEDING)
unatakiwa kupalilia wiki mbili baada ya kupanda na baada ya hapo utapalilia jinsi unavyo ona ili kuzuia magugu kukua na kukomaa. inatakiwa kupalili vizuri ili kuto adhili kukata mizizi na jeme
KUWEKA MBOLEA(FERTILIZER APPLICATION)
Mbolea ya kupandia inatakiwa kuwekwa pale unapopanda na mbaada ya wiki mbili inatakiwa kuweka mbolea ya kukuzia ambazo ni CAN, SA, TSP na UREA
NOTE;Kwa mtu ambae amefuata procedures zote hapo lazima atavuna kwa wingi sana
kwa ekari moja unatakiwa kuvuna magunia 20-31 kulingana na Eneo,lakni pia utakiwi kulima zao moja miaka yote.
Natumaini kwa yule ambae kasoma makala hii kwa usahii sidhani kama atabaki kama alivyo kunakitu ambacho kakipata kwa akili yake..,na ussihishie kusooma tu jalibu kufanya kkwa sababu kilimo kinalipa
kwa maoni,maswali na chochote kile nicheki;
rubabaimani@gmail.com
+255764148221

8 Comments
kwa sababu ardhi ikizoea sana mbolea za kemikali hua zinapunguza rutuba kwa udongo.
hua zinatumia mahali ambapo hakuna rutuba