LIMA KIDOGO VUNA MAZAO MENGI YENYE THAMANI

   kilimo ndio uti wa mngongo wa taifa letu.nadhubutu kusema hivi kwa sababu takriban asilimia 70 ya watanzania ni wakulima japo bado tupo nyuma sana kwa kilimo.
kumekua na dhana mbovu sana kwamba wakulima ni watu maskini sana katika taifa letu,nakanusha swala hilo kwa sababu kwa macho yangu nimeona mwenyewe wakulima jinsi wanavo tajirika sana kupitia kilimo mbalimbali.
kama wewe ni kijana msomi na bado umekaa nyumbani ukilala mika kua bado hakuna ajira nakuonea huruma sana kwa sababu kunavijana wengi tena hawajasoma wamekua matajiri sana kupitia kilimo tena sio kwa mashamba makubwa.
  kaa chini na ufikilie kwanini watu wengine watajilike kwa kilimo na wewe ubaki kua maskini kisha weka maoni yako hapa ili kupata mbinu mbalimbali na zenye mafanikio za kilimo bora.

Post a Comment

0 Comments