KILIMO BORA CHA MATIKITI MAJI

                                                 


                                                            MATIKITI MAJI
    matikiti maji ni moja ya matunda ambayo yanalimwa sana inchini tanzania.na hasa kwenye sehem ya joto jingi,kupata elimu kuhusu atua za awari kuandaa shamba,upandaji,kupalilia,dawa zinazo tumika,uvunaji  uhifadhi na hata soko la matikiti maji ungana na mimi najiunge na blog hii ili kufaham yote hayo na kuhusu mazao mengine.
naitaji maswali ushauri na maoni ili twende sawa

Post a Comment

0 Comments