MBEGU BORA ZA MAHINDI

      Asante sana ndugu wasomaji kwa kuonyesha kua mpo pamoja na mimi. Hivo na mimi ntapenda kuelezea swala moja ambalo nimekua nikiulizwa sana hata na zaidi ya watu 30,
nalo nikuhusu swala la mbegu bora za mahindi. nami ntapenda nilielezee ili angalau muweze kupata mwanga kuhusiana na swala hilo.
     nikwel kabisa mbegu bora inamchango mkubwa sana katika kupata mazao mengi na yenye thamani.bila kua na mbegu bora sidhani kama unaweza kupata mazao bora kabisa

kitaalamu kuna mbegu aina mbili japo zinamajina mengi mengi kutokana na makampuni na qulity kidigo zimetofautiana
mfano kuna pana,seedco, star na zingine nyingi.
lakini kila kanda kuna aina ya mbegu ambazo zinakubali sana katika ukanda husika bado cjapata stastic ya kila mkoa na aina ya mbegu ambayo inakubali sana.
ila ningependa ndugu msomaji uelewe kitu kimoja ambacho ni cha msingi sana

AINA ZA  MBEGU YA MAHINDI
i/ mbegu ndefu
ii/ mbegu fupi

   MBEGU NDEFU
Hizi ni mbegu ambazo zinakaa mda mrefu kidigo kuliko mbegu fupi
zinakaa siku 100 hadi siku 120 hapo ndipo zinakua tayari kuvunwa
lakini ni mbegu ambazo zinakua  ndefu sana kwa kimo, zinamabua makubwa sana pamoja na punje ambazo nikubwa. mfano hybrid,pana ndefu

  MBEGU FUPI
Hizi ni  mbegu hazichukui siku nyingi sana mpaka kukomaa zinachukua sku 75 hadi siku 90
lakin zinakua na punje ndogo kutokana na aina na zinakua na bua fupi
lakn hizi ni mbegu ambazo ni nzuri kwa wakulima ambao wanalima kwa ajili ya biashara
mfano star na stuka.

 natumain ndugu msomaji umepata mwanga kidogo na umeelewa aina za mbegu.
hivo usisite kuwasiliana na mimi pale mimi ili kupata muongozo na maelekezo
napia usisahau kuifollow blog hii ili kupata abdate za kila siku.
+255764148221
+255653882567
rubabaimani@gmail.com

No comments