IJUE GREEN HOUSE



UTANGULIZI
Green house au NYUMBA YA KIJANI kama wengi wanavo iita imekua ikitumika sana kwa sasa. Na kazi ya green house hutumika  kukuzia mazao mbali mbali kwa sababu huwezesha mazao kupata hali inayo stahili ili kuwezesha kukua na kustawi vizuri.

HISTORIA
Green house imeanza kutumika zamani tangia enzi za warumi, warumi walikua wakila matango kama mboga hivyo walitumia njia ya asili ya kutengeneza green house ili kuwezesha matango kupatkana kipindi chote katika mwaka.
hivyo walitengeneza green house ndogo ambazo walikua wanazitoa nje ili kuwezesha mazao kupata mwanga na jua la kutosha mda wa mchana na kuzirudisha ndani mda wa jion ili kuwezesha mazao kupata hali ya ubaridi.
katika carne ya 13 green house ilijengwa ITALY
Baadae carne ya 19 ilikua sambaa hadi netherlands, na inakadiliwa green house zilijengwa kwa hekar 10,526

vitua ambavyo vinapatikana ndani ya green house 
  • cooling
  • heating
  • screen inslation
  • light 
hivi vinaweza kua oparated na computer

FAIDA ZA GREEN HOUSE
  • uzalishaji wa mazao hua asilimia 10 hadi 14 ukilinganisha na mazao ambayo hukua bila green house
  • wakati mwingine haiitaji udongo
  • mazao hupata kila inacho itaji
  • uhakika wa uzalishaji
  • mazao hua yenye kiwango kizuri
  • madadwa na mbolea uwekwa kwa kiwango sahihi
  • ulinzi wa mazao
  • magonjwa na wadudu hua havina uwezekano wa kuathiri ni mdogo sana.
  •  
faida za green house ni nyingi ila hizo ni baadhi ya faida


Post a Comment

0 Comments