Uongozi mzima wa TANZANIA NA KILIMO
unatoa shukurani za dhati kwako wewe mpenzi msomaji na mfatiliaji wa makala zetu za kilimo na mifugo. bila nyinyi tusinge kuepo na tusinge kua moja kati ya blog bora za kilimo hapa Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla.
Tunaahidi kukupa maunzo zaidi kuhusiana na kilimo na mifugo kwa mwaka ujao 2018, hivyo usisite kuendelea kutuatilia kila siku, na kama ujajiunga unaweza kujiunga ili uwe mmoja wa wanafamilia wetu ili kua karibu zaidi na elimu bora ya kilimo na mifugo.
Tunapenda kukutakia christimass na Mwaka mpya wenye mafanyikio na baraka zaidi katika mwaka unao fuata.
usisite kuwasiliana nasi kwa maoni, ushauri, kutangaza biashara yako na mengine mengi zaidi kwaajili ya kujenga zaidi kwa kubofya HAPA
0 Comments