HAYA NDIO MAMBO MUHIMU ZA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA MBEGU

0
Mbegu ndio kila kitu katika kilimo, bila kua na mbegu bora hata uwe na eneo zuri, mtaji na utaalamu hakika huwezi kupata mazao mengi yenye ubora.
Na wakulima wengi wameishia kufeli kwa sababu hutumia mbegu zisizo na ubora hivyo hupata mazao madogo na ndio maaana wengi wamekata tamaa au kulidhika na hasara wanazo pata.
kwa kulitambua hili nimeamua nikujuze mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kununua mbegu yoyote.

SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWEZE KUPATA ELIMU ZAIDI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

write your comment here

write your comment here

Post a Comment (0)

buttons=(Accept !) days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top