SUA SASA INARUHUSUA MAOMBI YA MASOMO KWA MWAKA WA TAALUMA 2018/2019


Sokoine University of Agriculture (SUA) Kimeishafungua kujiandikisha kwaajili ya masomo admission and registration process kwa fani mbalimbali zinazotolewa katika mwaka wa masomo 2018/2019,, wanaovutiwa wanaweza kuomba kwa ngazi za Certificates, Diploma na Bachelor degrees. Maombi yote yafanye kwanjia ya mtandao online admission system ambayo inaweza kupatikana kwa kubofya here
Mwisho wa kutuma maombi kwa awamu ya kwanza ni 25th August, 2018, na awamu ya pili na tatu itaku 7th September na 21st September,

Maombi yote kwa fani zote yanatakiwa kuambatanishwa na ada ya shillingi elfu 10 ambayo haita rudishwa unaweza kulipia kupitia CRDB bank au kwa kutumia mitandao ya simu(AirtelMoney / MPESA / TigoPesa) kwa kutumia namba ya kumbukumbu utakayo wakati wa kujisajili.
Chuo kinatoa courses katika njia ya fulltime na part time kwa hiyo wahitimu wa kidato cha nne, sita na diploma walio na  sifa wana hamasishwa kuomba.

kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nao 
 Directorate of Undergraduate Studies,
Sokoine University of Agriculture,
P.O. Box 3000, Chuo Kikuu, Morogoro
Telephone No:  0744 555 448 OR 0692 862 360
Email: admission@sua.ac.tz   

No comments