Mpendwa mdau na mwanachama wa KilimoTanzania,
AgriProFocus Tanzania ikishirikiana na Jukwaa la Wakulima Meru, Baraza la Kilimo Tanzania (ACT), TAHA, Monsanto Tanzania wanaofuraha kukukaribisha kwenye maonesho ya Wakulima Meru. Maonesho haya ni muhimu kwa wadau wa kilimo kwani yamesheheni;

- Mafunzo mbalimbali kuhusu kilimo endelevu
- Fursa kukutana na kubadilishana mawazo na wadau mbalimbali kwenye sekta ya kilimo
- Fursa za kupanua masoko ya wafanyabisahara kwenye sekta ya kilimo kwa kutangaza bidhaa na huduma zao kwenye maonesho haya
BOFYA VIDEO CHINI KUJIFUNZA ZAIDI NA SUBSCRIBE CHANNEL YETU
0 Comments