Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewafikishia salamu za Rais Magufuli na
salamu zake mwenyewe wakulima wa korosho kutoka mikoa ya kusini ambao
kwa wiki nzima wamekuwa wakigomea minada ya zao hilo kutokana na
kutoridhishwa na bei.
BOFYA VIDEO CHINI KUTAZAMA NA USIPITE BILA KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU
BOFYA VIDEO CHINI KUTAZAMA NA USIPITE BILA KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU
0 Comments