Kama tunavyo fahamu hakuna mafanikio yoyote bila kua na kanuni, hata kilimo pia kinakanuni zake ambazo ndugu mkulima ukizifuata nilazima utapiga hatua, Kupitia maelezo na video fupi hapo chini utaweza kujifunza kanuni kumi muhimu ili uweze kufanya vizuri katika kilimo cha mpunga.
- Shamba
- uchaguzi bora wa mbegu
- kuotesha mbegu katika kitalu
- kutengeneza jaruba
- kahamishia mbegu shambani kwa wakati
- kuweka kingo katika jaruba
- Palizi
- Mbolea
- kuzuia ndege
- Uvunaji
0 Comments