Large white I Moja Kati ya aina Bora ya Nguruwe

Large white ni moja Kati ya aina ya Nguruwe pendwa zaidi Dunia, hii ni kutokana na sifa zake. Aina hii iligunduliwa mwaka 1880, huko Yokshire uingereza. Na Sasa ni moja Kati ya aina iliyo sambaa zaidi Dunia hivyo hutumika hata hapa nchini Tanzania. Hivyo Kama wewe ni mfugaji unaweza kufahamu vitu baadhi kuhusiana na aina hii, zifuatazo ni sifa za Large white.
  • Mkubwa Sana mwenye rangi nyeupe au pinki.
  • Hua na masikio yalio simama wima,
  • Miguu yake hua mirefu Sana
  • Husitahimili mazingira ya aina yeyote.
Tazama video chini kufahamu sifa nyingine nyingi na vitu usivyo vifahamu kuhusiana na large white. Usisahau kusubscribe channel yetu ili kujifunza mengi zaidi.

Post a Comment

0 Comments