Ufahamu ugonjwa wa East coast fever/ndigana kali

Ndigana kali au East cost Fever ni moja Kati ya gonjwa hatari sana, na linawakumba wanyama wengi Sana hata hapa nyumbani Tanzania. Hii ni kutokana na jitihada mbovu katika kuzuia wadudu wanaosababisha magonjwa tofauti. Hizi ni baadhi ya dalili ambazo mnyama Alie athiriki anaweza kua nazo.

  • Homa Kali
  • Kukohoa
  • Kuongeza kwa joto
  • Kuvimba kwa tezi(dalili kuu)
Ili kufahamu mengi zaidi tizama video hapo chini pia subscribe na bofya alama ya kengele ili kua karibu na elimu bora

No comments