INGIZA PESA: fanya kilimo bila shamba kabisa

Je wewe ni mwanafunzi, mama wa nyumbani, muhitimu au hata mfanyakazi. He unataka kujiingizia kipato Cha ziada au unataka kupata kipato Cha kujikimu na haujui utafanya Nini?
Jifunze Kilimo hiki ambacho hakiitaji kabisa kua na shambani pia mtaji wake ni chini ya Elfu 10.
Unaitaji kua na vitu vifuatavyo unavyo weza kuvipata bila hata kutumia ghalama.
  • Eneo dogo 
  • Ndoo, mataili yalio tumika, makopo au magunia
  • Udongo na mbolea
  • Mbegu ya 
Kisha tazama video chini kujifunza mengi subscribe na bofya alama ya kengele kua nasi kila siku na kua wakwanza kupata elimu zaidi.

Post a Comment

0 Comments