Karibu Tena mpenzi msomaji wa Tanzania na Kilimo, Leo napenda kukuonyesha ili uzitambue Siri 6 zitakazo msaidia nguruwe wako kua na afya Bora wakati wote.
- Kwanza nilazima uwe na Banda Bora ili kupata Nguruwe bora, kwa hiyo hi kitu Cha kwanza kabisa kitakacho kusaidia wewe mfugaji kupata Nguruwe bora
- Kitu Cha pili ni kutumia dume mwenye afya Bora wakati wa kupandisha, ukiitaji kitu Bora nilazima malighafi zitakazo tumika ziwe Bora pia, leave hyo hata kupata watoto wenye afya Bora zingatia kua na dume bora
- Muhimu kua na chanzo chaaji Safi bandani yanayo patikana muda wote
- Chakula Bora ni muhimu Sana, hivyo zingatia chakula Bora na kinacho tosha, ili kuwapa nguruwe nguvu na Afya.
Kufahamu mengi zaidi kuhusiana na Siri 6 zitakazo saidia nguruwe wako kua na afya Bora.
Tazama video na subscribe kuendelea kupata elimu Bora kiganjani kwako
0 Comments