Wafugaji wengi wa nguruwe wamekua wakiwalisha nguruwe mabaki ya chakula mbalimbali kutoka majumba, harusini na hata mahotelini.
Lakini kitaalamu mabaki ya chakula, hua hayana virutubisho vyote muhimu kwaajiri ya kumfanya nguruwe wako awe na afya Bora. Hivyo were Kama mfugaji lishe Bora ni lazima izingatiwe ili kupata Nguruwe went afya Bora kabisa.
Kwa kutambua hili, tunakuletea somo ambalo litakufundisha wewe mfugaji uweze kufahamu jinsi ya kutengeneza chakula Bora kwa gharama nafuu na kwakutumia malighafi zinazopatikana kirahisis.
Bofya video chini Tazama na Kisha subscribe kisha bofya alama ya kengele Ili uweze kua wakwanza kupata elimu hii muhimu.

0 Comments