Part 2: Zifahamu formula za kutengeneza chakula Cha nguruwe.

Karibu Tena tuendelee kujifunza na kwa kuendelea leo nigependa kuendelea na some letu la jinsi ya kutengeza chakula Cha asili Cha nguruwe, na leto tutazungumzia formula za kutengeza chakula hicho, Hivyo kupitia mafunzo haya utaweza kufahamu formula hizo kwa nguruwe mwenye kilo 30,60,60+.
Hivyo Kama ulipitwa na somo letu la kwanza unaweza kutizama video zetu za nyuma na utazifunza zaidi.
Bofya video chini subscribe Kisha bofya alama ya kengele Ili uendelee kua was kwanza kupata elimu hii Bora kabisa.
Usisite kutoa maoni yako, ushauri au kwa Jambo lolote kuhusiana na kilimo na ufugaji.

Post a Comment

0 Comments