PART 3: MAHITAJI MBALI MBALI YA CHAKULA KWA MAKUNDI TOFAUTI YA NGURUWE

Tunaendelea na somo letu la jinsi ya kutengeza chakula Cha nguruwe Cha asili, na kwa Sasa tupo sehemu ya Tatu.
Kama ulipipitwa na somo letu la nyuma unaweza kubofya link hapa chini ili tuweze kwenda sawa.
BOFYA KUTAZAMA SEHEMU YA PILI
Na kwakuendelea Leo tutafahamu mahitaji tofauti ya chakula kwa makundi tofauti ya nguruwe. Kupitia video hii utafahamu hasa ni kiasi gani cha chakula unatakiwa kuwapa nguruwe wako.
Tazama video hapa chini, subscribe Kisha bofya alama ya kengele kua karibu zaidi.

Post a Comment

1 Comments

Unknown said…
Asantee kwa elimu nzur kuhusu nguruwe naoma kama kuna group LA whatup uniadd kwa no hii 0758161917