SEHEMU YA MWISHO: FAHAMU MAHITAJI YA MAJI KWA MAKUNDI TOFAUTI YA NGURUWE

Tumefika mwisho wa somo letu la jinsi ya kutengeneza chakula bora cha asili cha nguruwe, na kwakumalizia leo tutafahamu saizi tofauti tofauti ya vyombo vinavyo takiwa kuwalisha nguruwe na mahitaji ya maji kwa makundi tofauti tofati ya nguruwe yaani majike, dume na watoto. Kupitia somo hili utapata fursa ya kujifunza mengi ambayo ulikua huyafahamu kabla hivyo kukuongezea ujuzi zaidi na kufanya ufugaji wako uwe wa tija.
Tunafahamu kua nguruwe ni kiumbe hai kama wanyama wengine hivyo maji safi na yanayo tosheleza ni muhimu sana katika ukuaji wa nguruwe. Napia mahitaji ya maji kwanguruwe hutofautiana kulingana na makundi tofauti mfano nguruwe mwenye mimba hua na mahitaji zaidi ya maji ukilinganisha na nguruwe asie kua na mimba. Hivyo usidhani kua kuwapa kiasi kimoja cha maji kitafanya kutosheleza mahitaji yao
kama ulipitwa na masomo yetu ya awali usisite kuingia katika channel yetu na kutizama zaidi kuanzia mwanzo wa somo letu hadi hapa tulipo fika. Pia subscribe na bofya alama ya kengele kua wa kwanza kupata elimu hadimu tonayo itoa kupitia ukurasa wetu na channel yetu bora kabisa ya kilimo na ufugaji wenye tija.Kumbuka mwisho wa somo hili ndio mwanzo wa somo lingine hivyo ni muhimu kujiunga na kua mwanafamilia wa channel yetu uli usipitwe kabisa na kila somo tunalo toa.

Post a Comment

0 Comments