JIFUNZE KUTENGENEZA YOGHURT NYUMBANI



Jumamosi hii Kupitia channel yetu pendwa ya Rubaba TV tutaanza somo ambalo tutaelezea namna mtu kutengeneza yoghurt nyumbani, bila kua na vifaa vikubwa.Kupitia somo hili litagawanya katika sehemu tatu, ili kukuwezesha wewe mtazamaji uweze kupata muda wa kutosha kuelewa na kufanyia mazoezi.
  • Utangulizi na vifaa vya kutumia
  • Jinsi ya Kutengeneza
  • Hitimisho, faida na kwanini yoghurt hushindwa kuganda vizuri.
USIPITWE NA HAYA YOTE KWA KUJIUNGA NA FAMILIA HAPA ,  KISHA HAKIKISHA UMESUBSCRIBE NA KUBOFYA KENGELE.

Post a Comment

0 Comments