👉 Je, ni gharama za uzalishaji zinazopanda kwa wafugaji?
👉 Ni ukosefu wa chakula cha kuku kinachoongeza gharama?
👉 Au ni walanguzi wanaoamua bei sokoni?
Mayai ni chakula cha kila siku, na ni kipimo cha uchumi wa familia nyingi.
💬 Wewe mtaa wako tray ni shilingi ngapi? Na unaonaje hizi tofauti za bei?
write your comment here