👉 Programu hii imelenga kumwezesha mkulima mdogo na wa kati kuongeza uzalishaji, kupata soko la uhakika, na kulima kibiashara bila hofu ya kukwama mitaji au kukosa uelewa.
Kwa mfano, kupitia TACATDP:
-
Mkulima anaweza kufadhili mbegu bora, mbolea na zana za kisasa.
-
Anaweza kulindwa dhidi ya hasara za majanga ya kilimo kupitia bima.
-
Kupitia mafunzo ya kitaalamu, anapata ujuzi wa kuongeza tija na kipato.
💡 Fursa kama hizi haziandikwi magazetini kila siku – ni muhimu mkulima akawa karibu na chanzo cha taarifa sahihi na za wakati.
📌 Ndiyo maana tumebuni group letu la Tanzania na Kilimo & Shamba Darasa, ambapo tunatoa taarifa, elimu na ushauri kuhusu kilimo na ufugaji, pamoja na fursa muhimu kama hizi.
👉 Kujiunga, bonyeza hapa:
🔗 NIUNGE WhatsApp
write your comment here