🔑 Kanuni kuu za kuzingatia kwenye lishe ya watoto wa nguruwe:
1️⃣ Maziwa ya awali (colostrum): Saa 24–48 za kwanza ni muhimu sana, kwani hapa ndipo piglets hupata kinga ya mwili na virutubisho vya mwanzo.
2️⃣ Starter feed bora: Kuanzia siku ya 7–10, anza kuwazoesha na chakula cha kuanzisha (creep feed) chenye protini na madini ya kutosha.
3️⃣ Vitamini na madini: Hasa madini ya chuma (iron), ni muhimu kuepuka upungufu wa damu.
4️⃣ Usafi na maji safi: Piglets wanahitaji maji safi muda wote na mazingira safi ili kuepuka magonjwa.
💡 Wataalamu wanashauri kutumia chakula cha watoto wa nguruwe chenye ubora wa juu kinachowasaidia kukua haraka na kuongeza uzito salama. Mfano mzuri ni feeds za Koudijs, ambazo zimeundwa kitaalamu kwa virutubisho kamili vinavyohitajika kwa piglets kuanzia wiki za mwanzo.
👉 Kumbuka: Lishe bora mapema = uzito bora sokoni.
Na kwa yeyote anayetamani kujifunza zaidi kuhusu mbinu za ufugaji wa nguruwe wa kisasa, tunakukaribisha kujiunga na group letu maalumu la mafunzo.
📲 Tuma neno NIUNGE WhatsApp kupitia link hii:
https://wa.me/255764148221
write your comment here