HOMA YA MATUMBO(FOWL TYPHOID)
nisiku nyngine tena mungu kapenda kutukutanisha tena mahali hapa.leo
nita kuonyeja gojwa lingine tena la kuku lijulikanalo kama HOMA YA
MATUMBO(FOWL TYPHOID)
Hili ni gonjwa linalo wapata kuku wa aina zote,bata na kanga
DALILI
Kuku mkubwa;
-kupoteza hamu ya kula
-kupunguza kutaga
-manyoya hutimka,kushusha mbawa na kuzubaa
-kupauka kwa upanga na masikio sababu ya kupungua kwa damu
vifaranga
-kinyesi cha rangi ya njano na huganda sehem ya kutolea haja
-kupumua kwa shida
-kuanguliwa vikiwa dhahifu na kushindwa kutembea
TIBA/KINGA
Hutibiwa kwa kutumia dawa za antibotic na huondo dalili zilizo tajwa na kupunguza vifo.Mfano CTC,OTC20%,SALIFONAMIDIES kamaTYPHOPRIM
Dawa hizo huwekwa kwenye maji siku 5-7
chAKULA SIKU 10
-Kuondoa wagonjwa sugu
-usafi wa mazingira kwa kutumia vitu atilifu kama formalin
-angamiza mizoga
mfano wa ini lililo athiliwa na homa ya tumbo(fowl typhoid)

Post a Comment