Habari mpenzi ,msomaji leo nataka nikuoneshe vitumuhimu katika ufugaji wa nguruwe kwa kua ni moja kati ya wanyama wenye faida sana.
Dalili, nguruwe anakua na vidonda na vitu kama vibarango mwili mzima pia mdomo na masikio yanabadilika rangi nakua mekundu.
characteristics
characteristics
natumaini umejifunza kitu kwa elimu zaidi usisite kunitafuta
rubabaimani@gmail.com
+255764148221
+255653882567
je ulipitwa na somo la UFUGAJI BORA WA SAMAKI? bofya hapa
“Ufugaji
wa Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata nguruwe bora.
Jamii
nyingi hapa Tanzania huchukulia nguruwe kama mnyama mchafu na asiyefaa
kuwa karibu naye na hata kwa matumizi kama lishe. Zaidi, nyama yake
inapendwa na haina madhara kwa afya na inapendekezwa kuliwa zaidi kuliko
nyama nyekundu. Unaweza kuanzisha mradi wa nguruwe kwa gharama ndogo
lakini baada ya kipindi cha miezi tisa tu ukaanza kujipatia kipato
kutokana na ufugaji huo.
Ufugaji
Nguruwe hawa itaji mtaji mkubwa sana ili kuwafuga,hata wakulima wadogo wanaweza kumudu kufuga nguruwe kwa kua huitaji mtaji mkubwa sana ili kuwa fuga na pia huleta faida kubwa pale wanapo fiki hatua ya kuya wakubwa
BANDA
Nguruwe wanahitaji kuwa na banda lililojengwa kwa sakafu ya zege au ukachanganya mchanga na siment unaweza chagua kulingana na uwezo wako

. Ukubwa wa banda unategemeana na
idadi ya nguruwe unaotaka kufuga. Mita 3 kwa mita 2.5 zitawaweka nguruwe
8-10 wanaonenepeshwa kwa soko au nguruwe jike mmoja na nguruwe ndume
mmoja.
CHAKULA
Uzuri wa nguruwe hua hawana gharama kubwa sana katika kuwalisha. Unaweza kuwalisha kwa kutumia majani laini ya aina mbalimbali,pumba.napia unaweza kuwalisha na mashudu aina ya Wheat Poland,au mabaki ya chakula chabinadamu.japo kua kunakua na aina maalum kwa ajili ya chakula kwa ajili ambacho unaweza kuwalisha kilo 1-2 kwa siku
KUPANDISWA

Nguruwe wakike yan sow ka lugha ya kitaalam anapandishwa pale anapo ingi kwenye joto kama mnyama yoyote yule.
na unaweza kujua kama ameingia kwenye joto pale anapokua msumbufu/lestless, anakua anawapanda wenzae,uteute mweupe unatoka kwenye uke wake,na pia vulva inabadilika nakua nyekundu.
KUZAA
Nguruwe hubeba mimba kwa kipindi cha siku 114 yan miez mitatu na na siku kadhaa.
Nguruwe hubeba mimba kwa kipindi cha siku 114 yan miez mitatu na na siku kadhaa.
Nguruwe mmoja ana uwezo wa kuzaa watoto 6
hadi 14 kwa mara moja. Watoto wa nguruwe (piglets) huanza kula chakula
cha kawaida wanapofika umri wa mwezi mmoja na nusu mpaka miezi miwili.
Endapo nguruwe watapata matunzo mazuri, baada ya miezi 6 wanakuwa na
uzito kati ya kilo 50-70 na wanaweza kuuzwa.
JINSI YA KUWATUNZA
Baada ya nguruwe kuzaa anatakiwa kupatiwa chakula na maji ya kutosha cha kutosha na ili kupata maziwa ya kutosha kwa ajili ya watoto wake. Watoto wa nguruwe wachomwe sindano ya madini ya chuma (Iron injection) baada ya siku2 au3 toka kuzaliwa. Hii ni muhimu sana vinginevyo wanaweza kufa wote. Kata meno (tooth clipping) baada ya miezi mitatu. Unaweza kuhasi madume (castration) baada ya miezi miwili.
BAADHI YA MAGONJWA YA NGURUWE
Kila siku magonjwa mengi kwa binadamu na wanyama yanatokea.lakinm kunamagonjwa ambayo kama mfugaji lazima uyajue kwakua ndio yanayo jitokeza.
UGONJWA WA MIGUU NA MIDOMO
Ugonjwa huu huathiri midomo na miguu ya nguruwe.

Ni ugonjwa ambao
hushambulia nguruwe mara kwa mara hasa wasipokuwa na matunzo mazuri.
Ugonjwa wa miguu na midomo, hudhoofisha nguruwe kwa haraka sana, ikiwa
ni pamoja na kupungua uzito.
Chanjo: Chanjo yake huitwa FMD VACCINATION nautolewa kila baada ya mwaka mmoja
Dalili,dalili zake miguu na midomo ya nguruwe inabadilika na pia nguruwe anadhoofika
Chanjo: Chanjo yake huitwa FMD VACCINATION nautolewa kila baada ya mwaka mmoja
Dalili,dalili zake miguu na midomo ya nguruwe inabadilika na pia nguruwe anadhoofika
Tiba: Ugonjwa huu hauna tiba halisi. Inapotokea nguruwe
wakawa wameshambuliwa kinachofanyika ni kutibu magonjwa nyemelezi kwa
kutumia antibiotics.
HOMA YA NGURUWE(SWINE FEVER)
Ugonjwa huu unasambaa kwa kasi kama mmoja akiambukizwa wengine pia wataambukizwa na kufa
HOMA YA NGURUWE(SWINE FEVER)
Ugonjwa huu unasambaa kwa kasi kama mmoja akiambukizwa wengine pia wataambukizwa na kufa
Dalili, nguruwe anakua na vidonda na vitu kama vibarango mwili mzima pia mdomo na masikio yanabadilika rangi nakua mekundu.
Chanjo: Ugonjwa huu
hauna chanjo wala tiba. Kinachofanyika mlipuko unapotokea ili kuwa
salama ni kuwateketeza nguruwe wote walioathirika na kuanza upya.
Unaweza kuteketeza kwa kuwachoma moto.
Muhimu: Baada ya
kuwateketeza nguruwe wagonjwa, safisha banda kisha nyunyiza dawa aiana
ya Acon au Ectomin, na uache banda wazi kwa kipindi cha wiki moja kabla
ya kuweka nguruwe wengine kwa kua huu ni viral disease
UGONJWA WA MAPAFU (PNEUMONIA)
Ushambulia sehemu za koo na mapafu ya nguruwe,Ugonjwa huu husababishwa na bacteria (Secondary bacterial), joto kupita kiasi, vumbi na gesi inayotokana na madawa makali.
Dalili, nguruwe hukooa na kupumua kwa shida sana

Tiba: Homa ya mapafu kwa nguruwe inatibika kwa kutumia
antibiotics. Pamoja na kuwaweka wanyama sehemu safi, isiyo na baridi
kali au joto la kupitiliza kiwango.
KIMETA(ANTHRAX)
Huu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria wanaojulikana kama Bacillus anthracis, wadudu hawa wanabaki kuwa hai kwa muda mrefu na wanaweza kuwa kwenye udongo wakiwa hai kwa kipindi cha miaka mingi
Tiba: Unaweza kutibu nguruwe wako kwa kutumia dawa aina ya Penisilin au Oxytetracycline.
Muhimu:nguruwe alie kufa kwa kimeta usimshkew kabsa kwa sababu hata binadamu anaupata huu ugonjwa, chimba shimo mbali na watu mwagia mafuta ya taa ndani ya hilo shimo kisha fukia mzoga.,

dalili ya nguruwe alie kufa kwa kimeta damu hua aigandi na pia hata nzi hawasogei kwenye mzoga kwa hiyo kua makini.
AINA ZA NGURUWE
AINA ZA NGURUWE
Largewhite
characteristics
- hii ndio aina kubwa kabsa kuliko aina zote tatu
- anakua na mwili mweupe pote
- masikio yake yamesimama wima
- ni mama mzuri
- anakua na mdomo mbinuko
landress
characteristics- anakua mweupe pia au anaweza kua na mabaka meusi
- ni mkubwa kuasi
- masikio yake yamelala
characteristics
- anakua mweusi ila anakua na mkanda mweupe shingoni
- pia ni mpole
- anamasikio ya kulala
- anakua mkubwa kiasi
natumaini umejifunza kitu kwa elimu zaidi usisite kunitafuta
rubabaimani@gmail.com
+255764148221
+255653882567
je ulipitwa na somo la UFUGAJI BORA WA SAMAKI? bofya hapa
asante sana kaka kwa elimu uliyotoa nimepiga hatua
ReplyDeletepamoja sana
Deletethanx for knowledge
ReplyDeletethanks for interest
DeleteNimejifunza mengi sana
ReplyDeleteSalute kwako mkuu
asante kwa kunitia moyo endelea kua nami kujua meng zaid
Deletevipi kuhusu soko na bei
ReplyDeletesoko na bei la nguruwe hutegemea na sehem husika.
Deleteila kwa ufupi tu nguruwe ni wanyama wenye faida na soko sana
unaweza kupata soko kwa kuwachinja na kuwauza au kuweka ubia na maoteli wanakua wanachukua nyama kwako.
kuuza watoto wake,kuuza kwa watu pia
hiyo ni mifano ambayo unaweza kupata soko pia.
Karibu katika group LA whatsapp tushirikiane ktk kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji WA nguruwe....pig keeping TZ.... Txt me whatsapp namba 0712694084
ReplyDeleteasante nakuahidi tutakua pamoja
DeleteKaribu katika group LA whatsapp La PIG KEEPING TZ Tushirikiane kutatua changamoto pamoja
ReplyDeleteClick link kujiunga
https://chat.whatsapp.com/5uHk9ZENTuUG3LhN3tw7s0
Mkuu hiyo link haifunguki, add me kwa 0677175360, please
Delete0719172072 ni add
Delete0687966134
ReplyDelete0687966134
ReplyDeleteMarimba niunge kwenye group 0767258869
ReplyDeleteUko vizuri sana. I wish nijoin darasa lako.
ReplyDeleteKaribu
ReplyDeleteuko vizuri sana ndugu.natamani ningekuwa na hiyo elimu .natamani sana kufuga nguruwe,sijaanza bado lakini nitafuga sio muda mrefu,ila nahitaji kwanza elimu ya kutosha .
ReplyDeleteKaribu sana kujifunza mengi
ReplyDeleteMimi naitaji begun kubwa ambayoinaongezekauzito halaka . mm nafuganguruwe ila hawana umbilekubwaa nawakati akinyonyesha hukonda nifanyeje?
ReplyDeleteKuhusu mbegu tunaweza kuwasiliana 0764148221,
ReplyDeleteLakin pia ili nguruwe asikonde wakati wa kunyonyesha jitahd kumpa chakula Bora na kinachotosha, pia zingatia kumpa maji ya kutosha
Plz niadd kwenye group 0677496617
ReplyDeleteAdd me please 0745142831
ReplyDeleteNaomba uniunganishe na grupu la whatsapp la ufugaji nguruwe na mimi pia nijifunze na nitekeleze.
ReplyDeleteNiadd kwa 0622589315
ReplyDeleteadd me on WhatsApp 0743557016
ReplyDeleteili nijifunze zaid
Mko vizuri, niunge kwenye group 0659821393
ReplyDelete0713400778
ReplyDeletenia add namimi
Nimesoma lakini je sisi wsmikoani munaweza kutumia mbegu maana tunapatashina sana hasa yanguluwe large white na land race Sasa naomba Muni add kwenye group la Whatsapp nb, 0788612111
ReplyDeleteThanks nimegain alot,as long ndio nategemea kuanza project so nauliza interval ya umri wa kununua mbegu na pia nategemea kama nianze na kama piece 20 naomba kujua ratio ya jike na dume iweje ili pia iwe rahisi kuwamanage na uzao wao.
ReplyDeleteIkiwezekana na bei kwa kila umri ambao utanishairi nianze nao.
Thanks nimegain alot,as long ndio nategemea kuanza project so nauliza interval ya umri wa kununua mbegu na pia nategemea kama nianze na kama piece 20 naomba kujua ratio ya jike na dume iweje ili pia iwe rahisi kuwamanage na uzao wao.
ReplyDeleteIkiwezekana na bei kwa kila umri ambao utanishairi nianze nao.
0716830953/0783378529
Thanks nimegain alot,as long ndio nategemea kuanza project, so nauliza interval ya umri wa hizo mbegu (piglets) maana nategemea kama nianze na piece 20, naomba kujua ratio ya jike na dume iweje ili pia iwe rahisi kuwamanage uzao wao.
ReplyDeleteNa unanishairi mbegu ipi bora zaidi inayohomili maradhi na kujua haraka pia uzito mzuri.
Ikiwezekana na bei kwa kila umri ambao utanishauri nianze nao.
0716830953/0783378529
write your comment here